Unordered List

Definition List

Kundi La Kumtetea Diamond Platnumz Laanzishwa, Wamkejeli Wema Sepetu

Baada ya kuanzishwa vuguvugu la #BringBackOurWema, sasa kundi jipya limejitokeza kumpa sapoti Diamond Platnumz.

Kundi hili lililofungua akaunti spesheli inayojiita TeamDiamondTz Instagram nia yake kuu ni kumkashifu Wema Sepetu kwa tabia zake ovyo na pia kujeuza sura ya kuwa Diamond Platnumz ana mtumia Wema Sepetu kwa nyota yake.

Issue zima ilianza baada ya Wema Sepetu kudai kuwa anajutia kwa nini amerudiana na Diamond Platnumz, baadaye kukaanzishwa hashtag #BringOurWemaBack lililomsuta Diamond.

Halafu kucounter attack Diamond aliwasuta Team_Wema Instagram na sasa hii TeamDiamondTz imekuja na mapya.

Kupitia Instagram TeamDiamondTz imeukejeli urafiki wa Wema Sepetu na Aunt Ezekiel huku wakidai kuwa Aunt ameolewa lakini amejawa na umalaya mwingi...

Kuongezea msumari kwa kidonda, TeamDiamondTz imemtaka Wema aache tabia yake ya ovyo ya ulevi na anasa nyingi huku wakimuumbua kuwa aliachwa na marehemu Kanumba kwa kuwa na tabia za kama za mbwa koko ambaye anataka kuonekana na kila mtu na baadhi ya matusi mengine.

Bado hakujatokea mapya lakini tegea humu ndani bkuhabari blog kwa habari zozote mpya.
Kundi La Kumtetea Diamond Platnumz Laanzishwa, Wamkejeli Wema Sepetu Kundi La Kumtetea Diamond Platnumz Laanzishwa, Wamkejeli Wema Sepetu Reviewed by Admin on Saturday, August 16, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.