Unordered List

Definition List

Kilichotokea Kati Ya Wema Sepetu Na Jokate Walipokutana Ana Kwa Ana

Jokate aliwahi kukiri kwenye exclusive na Millardayo kwamba aliwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Diamond kwa muda usiozidi miezi miwili ambapo wakati yuko na Diamond zilitoka stori nyingi pia kuhusu uhusiano wa Wema na Jokate kuingia matatizoni.

Ni stori ambazo ziliandikwa sana na inawezekana mpaka leo watu wengine walikua wanaamini Jokate na Wema hawawezi kukaa meza moja ila Aug 9 2014 Wema Sepetu baada ya kuwasili Mwanza kwa ajili ya show ya Serengeti Fiesta 2014 baadae CCM Kirumba amepost hii picha.

Wakiwa kwenye ndege ya Fastjet Wema na Jokate wakitokea Dar es Salaam walipiga selfie ambayo Wema ameipost kwenye instagram page yake na kuandika hayo maneno hapo chini akimaanisha wako poa sasa hivi.
Kilichotokea Kati Ya Wema Sepetu Na Jokate Walipokutana Ana Kwa Ana Kilichotokea Kati Ya Wema Sepetu Na Jokate Walipokutana Ana Kwa Ana Reviewed by Admin on Sunday, August 10, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.