Unordered List

Definition List

Picha: Risper Faith Sexy Bikini Photos, Corazon Kwamboka Ni Ajipange Zaidi

Imekuwa rasmi kuwa kumeanza vita vya bikini, na si kuwa ni kwa kila mtu bali ni kwa madada wawili ambao majina yao yakitajwa popote sehemu za Nairobi shughuli zote husitishwa. Juzi Corazon Kwamboka aliilemaza Instagram kwa comments ajab baada ya kuachilia picha ya bikini na sasa Risper Faith amekuwa gumzo katika blogsphere kwa hizi picha zake mpya za bikini.







Inaonekana wawili hawa wamekuwa wakishindana kuwa nani anaweza kuiteka hisia ya mafans kwa wingi hivyo picha zao za bikini zimekuwa zikimiminika kila wakati.

Risper Faith ni socialite ambaye amekuwa kwa game kwa muda mrefu ilhali Corazon alipata umaarufu hivi karibuni na sahizi anaaminika kuwa ndiye mwanamke mwenye umbo tata zaidi Nairobi.
Picha: Risper Faith Sexy Bikini Photos, Corazon Kwamboka Ni Ajipange Zaidi Picha: Risper Faith Sexy Bikini Photos, Corazon Kwamboka Ni Ajipange Zaidi Reviewed by Admin on Saturday, August 02, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.