Unordered List

Definition List

Rihanna Apania Kununua Klabu Cha Soka England

Kulingana na vyazo vya kuaminika vya karibu na dada huyu ni kuwa staa huyu wa nyimbo 'California King Bed' ameingiwa na jazba ya kununua/kuhusishwa na klab kimoja cha England...ingawa bado hajajua itakuwa ni ipi.

Riri kuonyesha kuwa ana nia ya kununua klabu, alionekana kuwa mshiriki mkuu katika kombe la dunia lililoisha hivi majuzi na pia Riri ametengeneza football academy Barbados alikozaliwa.

Chanzo kimoja kiliiambia The Daily Star kuwa awali walidhania kuwa Rihanna anafanya mizaha kusema kutaka kununua klab England lakini baada ya kuonyesha dalili nyingi, imeonekana bayana kuwa Riri ana azma ya kufanikisha matakwa yake.
Rihanna Apania Kununua Klabu Cha Soka England Rihanna Apania Kununua Klabu Cha Soka England Reviewed by Admin on Saturday, August 09, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.