Unordered List

Definition List

Picha: Kim Kardashian vs Beyonce; Nani Ana Shepu Kali

Wiki iliyopita kulizuka uvumi kuwa sababu kuu ya Beyonce kutohudhuria harusi ya Kim-Kanye ni kuwa anaogopa Kim ataiteka hadhira yake aka 'fan base' hivyo alijitenga kimaksudi na harusi hio.

Beyonce ni staa ambaye mambo yake huwa ni ya kisirisiri...ilhali Kim kila kitu chake hukiweka wazi (ikiwemo hata video yake ya ngono na Ray J). Lakini yaonekana umaarufu wa Kim umeanza kuongezeka zaidi haswa baada kufanya harusi yake mwezi Mei, jambo linalomfanya queen Bey kuhakikisha amemaintain level yake hata kama nikuanza kuonyesha picha za mitego Instagram.

Kim kwa upande wake anataka kuingia katika Forbes most powerful celebrities. Bey anaongoza hio list kwa kumake pesa kiasi cha $115milion, Kim ameanza kampeni ya kufika hapo haswa baada ya kuzindua video game itakayomfaidi $85 pekee mwaka huu.

Kiufupi wawili hawa wana mashindano ya hali ya juu.

Tukirudi nani anamshinda mwenzake kishepu, Kim na Beyonce wakiwa wamevalia dress nyeupe uamuzi ni kwako

Beyonce

Kim Kardashian
Picha: Kim Kardashian vs Beyonce; Nani Ana Shepu Kali Picha: Kim Kardashian vs Beyonce; Nani Ana Shepu Kali Reviewed by Admin on Monday, August 04, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.