Unordered List

Definition List

Shaa: Mpenzi Wangu Anajua Kupika Kuniliko

Akiongea leo kwenye kipindi cha Coke Studio Afrika kutoka Nairobi, Shaa amesema mpenzi wake huyo si mnyama kwenye upishi wa ngoma studio pekee, bali pia katika kurekebisha msosi jikoni.

Alikuwa akijibu swali la producer wa Kenya, Kagwe aliyetaka kufahamu kama humpikia mpenzi wake. “By the way you will be surprised,” amesema Shaa. “Because my better half is a better cook than me. He is really a better cook. I am the type of a girl who can boil an egg well, I can make it look pretty, I can set up a table, I can clean the dishes, I can clean the clothes, I can iron whatever but the kitchen yeah he’s got better…. (anacheka na kufanya asisikike alichotaka kusema).
Shaa: Mpenzi Wangu Anajua Kupika Kuniliko Shaa: Mpenzi Wangu Anajua Kupika Kuniliko Reviewed by Unknown on Friday, August 01, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.