Unordered List

Definition List

Justin Bieber Aonyesha Tatoo Zake Za Mkono. Ametisha!!

Poleni kwa wale wote ambao bado wanamdhania Justin Bieber  kuwa ni mtoto kwa sababu kwa muda mfupi staa huyu ameweza kubadilika kwa mambo mengi.

Kwanza ni kuwa ametimiza miaka 20, ashawahi kuhusishwa na skendo la ufuska, albamu yake mpya ya Journal imeashiria kukomaa kiakili na sauti, amewaogofya baadhi ya Wamarekani na mengine mengi ambayo staa huyu anazidi kuonyesha kuwa amekomaa kuanzwa kutambulika kuwa kijana aliyekuwa mkubwa.

Lakini tukio kubwa katika yote haya ni kuwa Justin Bieber ameanza kuubadilisha mwili wake...kuchora tatoo mwilini.

Staa huyu ameanza kuifuata mikondo wa mastaa kama vile Lil Wayne, The Game na wengine kwa kujichora tatoo mwili mzima?

Wiki mbili zilizopita polisi waliweza kuzianika tatoo zote za staa huyu mwilini jambo lililomfanya staa huyu kuziongeza hata zaidi kwa kuanza kuonyesha tatoo ya mkononi ya kwanza na sahizi amechora mikono yake miwili kwa tatoo, atafika mwisho?

Cheki tatoo zenyewe.


Ametisha!!!
Justin Bieber Aonyesha Tatoo Zake Za Mkono. Ametisha!! Justin Bieber Aonyesha Tatoo Zake Za Mkono. Ametisha!! Reviewed by Admin on Thursday, March 27, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.