Unordered List

Definition List

Diamond Platinumz Avalia Wigi Katika Picha Ya Utata

Picha iliyosambazwa na Wema Sepetu kupitia akaunti yake ya Instagram inaendelea kuzua utata zaidi katika mitandao ya kijamii na mabunge ya mitaa.

Staa huyu wa Nyimbo My Number One ameonyeshwa akiwa amevalia wigi -aina ya nywele badia ambazo sana huvaliwa na wanawake.

Katika picha hio Wema Sepetu aliambatanisha na maneno: Bin looking for my wig da whole morning..... Luk wea i found it.... My crazy baby.... Limempendeza though.... Hihihihihi....


Sisemi kitu....
Diamond Platinumz Avalia Wigi Katika Picha Ya Utata Diamond Platinumz Avalia Wigi Katika Picha Ya Utata Reviewed by Admin on Thursday, March 27, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.