Unordered List

Definition List

Picha Za Kim-Kanye Katika Gazeti La Vogue: Ilikuwaje?

Huku dunia nzima ikisisimuliwa na Kim na Kanye kwa kutokeza katika gazeti la Vogue, kuna swali moja bado halijapata jibu.

Ilikuwaje mpaka wawili hawa wakafanya mambo haya yote? Ilikuwaje mpaka ikawa siri ambayo hakuna mtu aliweza kugundua hadi kufika siku ya kuchapishwa kwa mtandao?

Kulingana na mwandani wa jarida la US Weekly, inadaiwa wahusika walikula kiapo cha siri ili kutofichua mambo haya hadi mwisho.

Picha za wawili hawa zenye mukhtadha wa harusi ziliweza kupigwa kwa siku mbili jijini Los Angeles na inaamilika picha hizo zilichukuliwa mwenzi wa Februari ama Machi.

Picha hizo pia ziliweza kupigwa ndani ya ndege lakini wawili hawa hawakuweza kupaa mahali popote. Picha nyingi waliweza kupiga pamoja na mtoto wao North West.

Cheki baadhi ya picha za Vogue.

Kim, Kanye na Nori...Wametokelezea
Tabasamu
Ye na Nori kwa ndege...wako supa
North West
Kim Kardashian akimbeba Nori
Wapendanao
Familia Njema
Kimye katika buchu
Teknolojia nayo?
Twende zetu

 Kim amejawa na furaha kuliko siku zozote baada ya tukio hili la kutoka katika gazeti la Vogue.

Cheki Maandalizi Yenyewe Ya Video Ya Kim Kardashian Ya Vogue
Picha Za Kim-Kanye Katika Gazeti La Vogue: Ilikuwaje? Picha Za Kim-Kanye Katika Gazeti La Vogue: Ilikuwaje? Reviewed by Admin on Tuesday, March 25, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.