Unordered List

Definition List

Lady Gaga Arushiwa Matapishi Wakati Wa Kufanya Shoo Ya Nyimbo 'Swine'

Lady Gaga aliweza kurushiwa matapiko wakati wa kufanya wa kufanya shoo ya Dorito #BoldStage SXSW siku ya Alhamisi.

Mwanadada aliyemrushia matapiko hayo hakuwa mlevi bali alikuwa ni artiste flani aliyekuwa na Lady Gaga.

Tukio hili la kushangaza lilitokea wakati Lady Gaga alipoinama halafu mwanadada huyu kuingiza kidole chake kwa mdomo halafu kumteukia kwa uso wa Lady Gaga. Cheki tukio zima lililonaswa katika video.



Baada ya hapo bila kushtuka Lady Gaga alitoa kilemba chake alichokuwa amevalia na kuendelea kufanya shoo akiwa na matapishi.

Baadaye Lady Gaga bila wasiwasi alijitetea kuwa mwanzo kabla kuingia jukwaani hakuwa ameoga so jambo na kutapikiwa hakuona kitu cha ajabu.


Baadhi ya maneno ya Lady Gaga:

"I've been drinking a lot and eating. Are you f--king hungry? I've been having such a good time hearing music, I forgot to do everything this week!"
"Now let's f--king celebrate! This is the moment now!"
"I won't play by your f--king rules. This is our world!"
"F--k your cell phone. F--k your friends instead!"


Lady Gaga Arushiwa Matapishi Wakati Wa Kufanya Shoo Ya Nyimbo 'Swine' Lady Gaga Arushiwa Matapishi Wakati Wa Kufanya Shoo Ya Nyimbo 'Swine' Reviewed by Admin on Saturday, March 15, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.