Unordered List

Definition List

Lady Gaga Atoa Video Yake Mpya Ya G.U.Y. Kuwa Wa Kwanza Kuiona

Lady Gaga ameweza kutoa video yake mpya ya nyimbo G.U.Y. ambayo ilingojewa kwa muda mrefu na mashabiki wake sugu.

Staa huyu anayeaminika kufuatwa na mikosi ya tetesi ameweza kutoa video ya single yake kutoka kwa albamu yake mpya ya ARTPOP.

Katika video hii mpya ya dakika 7:30 (Dakika 11:46 za credit) zimeonyesha ubunifu mkuu wa msanii huyu ambaye alitajwa na Forbes Magazine kuwa ni msanii anayelipwa sana ulimwenguni mwaka 2013.

Cheki video yake mwenyewe halafu uangalie kama kweli ni ubunifu anaouongea yeye ama ni stori tu.


Lady Gaga Atoa Video Yake Mpya Ya G.U.Y. Kuwa Wa Kwanza Kuiona Lady Gaga Atoa Video Yake Mpya Ya G.U.Y. Kuwa Wa Kwanza Kuiona Reviewed by Admin on Monday, March 24, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.