Unordered List

Definition List

Kim Kardashian Apozi Picha Na Ciara, Ambaye Ni Mja Mzito

Tangu Kim Kardashian awekwe katika gazeti la Vogue imekuwa siku ndefu kwa wengine huku mahasimu wa staa huyu wakijitokeza kuwa hawatununua magazeti ya Vogue tena.

Kwa Kim hio ndio furaha kwake na kwa kulenga stress alienda kumtembelea Ciara kabla ya kujifungua mtoto.



Kim akipiga pozi na mwanamziki Ciara na LaLa Antony aliweza kurusha picha hio kwa mtandao wa Instagram ikifuatiwa na maneno haya: "Celebrating @Ciara's baby shower today with @lala #mommymemories."

Ciara ni mja mzito na anatarajiwa kujifungua mtoto hivi baadaye karibuni
Kim Kardashian Apozi Picha Na Ciara, Ambaye Ni Mja Mzito Kim Kardashian Apozi Picha Na Ciara, Ambaye Ni Mja Mzito Reviewed by Admin on Monday, March 24, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.