Unordered List

Definition List

Staa Aliyejichubua Hadi Kope Atafuta Mwonekano Baada Ya Kuanzisha Bifu Na Lupita Nyong'o

Mwanadada aliyejichubua ngozi kutoka nchi Camoroon aliingia kwa mtandao wake na kumpa makavu live mwanadada Lupita Nyong'o.

Lupita Nyong'o ameweza kumulikwa na vyombo vya habari na amependeza sana hasa kwa ngozi yake nyeusi asilia ya kiafrika....jambo ambalo halikumpendeza staa wa Cameroon kwa jina Densia (hajulikani).

Tatizo limekujaje?

Hivi karibuni Lupita Nyong'o aliweza kutuzwa na gazeti la Essence kwa tukio la Black Women in Hollywood na aliweza kupewa tuzo la 'Best Breakthrough Performance Award'. Katika kueleza furaha yake, Lupita alidai kuwa mmoja wa mafans wake alimtumia barua pepe kudai kuwa ilikuwa kidogo tu ajinunulie mafuta ya kujichubua ngozi lakini baada ya kumuona Lupita aliachana na hilo jambo.

Soma: Lupita Nyong'o Apokea Tuzo La Oscars 2014

Staa huyo wa Cameroon aliingia Twitter na kumjibu Lupita kuwa anajisifu na kuwa hatambuliki...cheki baadhi ya uchafu aliyomtumia Lupita:
  • A girl wrote u a letter?lol thru which email when I just checked ur twitter n can’t see an email address!!Ir pr tried n thanks 4 the Pub.
  • Again I don’t watch movies unless it’s Comedy or Romance I won’t even watch anything w title “Slaves” I studied enuff in my history class.
  • And she forgot to tell the non existent black girl that ur skin color doesn’t take u to hollywood hard work does,then again her color did.
  •  Duh cuz I won’t accept a role because they think I look like a slave,I work hard and decide what I want 2 do but she can’t do that,the white man got their lil slave lol. 
Dencia kabla na baada ya kujichubua

Nani amjuae huyu Dencia enyewe!?! Natumai Lupita atapata nafasi ya kuona comments zake

Staa Aliyejichubua Hadi Kope Atafuta Mwonekano Baada Ya Kuanzisha Bifu Na Lupita Nyong'o Staa Aliyejichubua Hadi Kope Atafuta Mwonekano Baada Ya Kuanzisha Bifu Na Lupita Nyong'o Reviewed by Admin on Wednesday, March 05, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.