Unordered List

Definition List

Recho Achora Tatoo Mpya: Ameashiria Mafanikio?

Baada ya kuapa kuwa ataacha tabia za kitoto, Recho ameingia katika msururu wa mastaa ambao washajionyesha tatoo zao kwa mtandao ikiwemo Diamond Platinumz, Lulu Michael, Victoria Kimani, Irene Uwoya na baadhi ya mastaa wengine.

Staa huyu msanii wa Bongo aliweza kuingia katika mtandao wa Instagram na kurusha picha moja kali ambayo imemuonyesha tatoo ya pajani iliyochorwa aina ya ndege halafu na maandishi 'Cuz'...sijui imeashiria nini ama labda ina maanisha 'kupaa kiusanii'.....hapo siwezi kujua lakini baada ya kuweka hio picha aliweka maneno: "NichekikizunguzunguHatar Sana"

Recho Achora Tatoo Mpya: Ameashiria Mafanikio? Recho Achora Tatoo Mpya: Ameashiria Mafanikio? Reviewed by Admin on Tuesday, March 25, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.