Unordered List

Definition List

Miley Cyrus Aingia Kwa Stage Na Chupi Pekee Baada Ya Kukosa Nguo Za Kuvaa

Huu muda wote mpaka Miley Cyrus amalize concerts zake za Bangers tour, tutajitayarisha kuona mengi.

Hivi mwezi jana staa huyu aliweza kuilamba chupi ya fan wake mmoja na haingekuwa maajabu kuona zaidi ya tendo kama hili.

Haishangazi kumuona Miley akipafomu akiwa na chupi pekee.

Katika shoo aliyoiporomosha hii wikendi sehemu za Milwaukee, staa huyu aliingia na kufanya shoo ya nyimbo 23 akiwa amevalia chupi na sidiria pekee.

“not a new outfit for 23... I didn’t make my quick change and I couldn’t not come out for the song so I just had to run out in my undies :(” aliandika Miley na kuongezea

“Never happened to me before. But I love my fans as much as they love me! I couldn’t miss 23 ❤️. Show must go on :(”

Miley alijitetea kuwa alikosa nafasi ya kubadilisha ngo ndipo maana akaamua kuingia stage karibu akiwa nusu uchi.

Enyewe siku hizi Miley hatushtui tena kwa mambo yake haswa baada ya kuona picha 9 za Miley Cyrus akiwa uchi

Miley Cyrus Aingia Kwa Stage Na Chupi Pekee Baada Ya Kukosa Nguo Za Kuvaa Miley Cyrus Aingia Kwa Stage Na Chupi Pekee Baada Ya Kukosa Nguo Za Kuvaa Reviewed by Admin on Tuesday, March 11, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.