Unordered List

Definition List

Mtoto Wa Museveni Ajitokeza Kuwa Yeye Ana Jinsia Utata

Haijapita wiki vizuri kabla rais Museveni wa Uganda kupitisha mswada wa kuwafunga mashoga wote wataopatikana, mtoto wake Diana Kamuntu amejitokeza hadharani na kudai kuwa yeye ni mtu mwenye jinsia ya utata. Kupitia mahojiano ya redio mjini Mbarara, Diana alikiri kuwa yeye ana jinsia utata. Ijapokuwa hampingi babake kwa mambo anayoyafanya, mwanadada huyu amedai kuwa mswada alioupitisha haukumpendeza kamwe na atapigana nao hita hadi mwisho. "Mimi nina ujinsia utata tangu nilipokuwa mtoto" Diana alikiri.

Mimi nimejitokeza kuwa nina ujinsia utata na nitapingana hadi mwisho. Sasa kwa sababu ya kuwa nimejitokeza kuwa na ujinsia utata natumai na nangojea nani atanichukulia hatua dhidi yangu." Mwanadada huyu aliongeza. "Nimezaliwa katika dini ya ukristo na naamini kkuwa mtu ana haki ya kujieleza na wala dini haijatufunza kuwakandamiza wengine."

Soma Kanisa La Masoga Nairobi Lamulikwa
          Shoga Amshobokea Msanii Wa Bongo

Muda tu baada wa Diana kufunguka kuhusu ujinsia wake, kituo hicho za habari kilifungwa kabisa. Wiki iliyopita Museveni alipitisha mswada ambao hauruhusu ujinsia moja na ukinaswa utafungwa maisha.

Sasa mtoto wa Museveni amejitokeza wazi ngoja tuone hatua zipi atazichukua.
Mtoto Wa Museveni Ajitokeza Kuwa Yeye Ana Jinsia Utata Mtoto Wa Museveni Ajitokeza Kuwa Yeye Ana Jinsia Utata Reviewed by Admin on Wednesday, March 05, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.