Unordered List

Definition List

Jackline Wolper: Wazazi Wangu Matajiri

“Wazazi wangu ni Matajiri sana, hawanitegemei Mimi”…Wolper
Staa wa sinema za Kibongo , Jacqueline Wolper amechomoa madai yaliyoibuka kuwa hawajali wazazi wake.
wolper
Baada ya taarifa hizoza chini chini kuzagaa , Wolper aliibuka na kuzikanusha kama ifuatavyo:
“Wazazi wangu ni matajiri sana, kwa pesa gani nyingi nilizonazo za uwafikia wao kiasi cha kuwapa matunzo???, bado nawategemea hivyo wanaodai nimetelekeza wazazi ni waongo tu.” Aling’aka wolper
Jackline Wolper: Wazazi Wangu Matajiri Jackline Wolper: Wazazi Wangu Matajiri Reviewed by Admin on Tuesday, March 11, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.