Unordered List

Definition List

Uvumi Kuwa Kanye West Ni Vampire: Anaweza Kuwa Ni Muumini Wa Kiza!?!

Ulikuwa uvumi ambo ulipotea baada ya tetesi na sapoti kujitokeza baada ya Kim Kardashian kutokea katika gazeti la Vogue, sahizi uvumi huo umechukua mkondo mpya na kuingia katika mitandao ya kijamii.

Kuna uwezekano kuwa Kanye West ni Vampire?

Inajulikana kuwa kuna dalili nyingi ambazo zinamsonga staa huyu kuwa mambo yake si ya kawaida kimaumbile (ana dini yake ambayo wafuasi wake wanamwabudu na kumwita Yeezus). Twitter imelipuka na maswali baada ya picha hii aliyoipiga katika zile picha za Vogue.

Hebu....mbona mwili wa Kanye West hauonekani katika kioo hapo mbele?



“Proof that Kanye West is a vampire. We have all speculated for years but the truth has finally been revealed,” Twitter moja ilidai kuhusu picha hii ya Kanye West na Kim Kardashian.

Gazeti la Cosmopolitan pia liliweka kichwa:
"Kanye West *MIGHT* actually be a vampire."

Ok wengine wangedai kuwa itakuwaje basi staa huyu anawezaje kutembea mchana na asichomeke na jua. Ukiangalia kipindi cha The Vampire Diaries kwa dakika tano utaelewa.

Ok. Kinaya hapa kinaweza kutokea wakati Kanye West ajitokeze kuwa yeye ni vampire halafu tena awe ameparara kama Edward Cullen.

Na ni dhahiri tunajua vyema aina ya wanaume Kim Kardashian anaopenda.
Uvumi Kuwa Kanye West Ni Vampire: Anaweza Kuwa Ni Muumini Wa Kiza!?! Uvumi Kuwa Kanye West Ni Vampire: Anaweza Kuwa Ni Muumini Wa Kiza!?! Reviewed by Admin on Friday, March 28, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.