Unordered List

Definition List

Miley Cyrus Na Tatoo Mpya Kwa Mdomo:

Miley Cyrus round hii ameamua kuingia katika mtandao wa Instagram aliwa na nia 'njema', kuweka picha ikimuonyesha tatoo ya mdomo. Yenye maandishi ya: "#sadkitty #f–kyeahtulsa.

Tatoo yenyewe inaashiria paka mwenye huzuni

Wiki hii pia msanii mwenye utata Justin Bieber ameweza kutupia picha mpya ikimuonyesha tatoo yake mpya ya mkono.

Cheki tatoo mpya ya Miley halafu waionaje?


Miley Cyrus Na Tatoo Mpya Kwa Mdomo: Miley Cyrus Na Tatoo Mpya Kwa Mdomo: Reviewed by Admin on Sunday, March 16, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.