Unordered List

Definition List

Linah: Sijawahi Kuumwa Namna Hii

Msanii Linah ameingia wa mtandao wa kijamii na rushusha picha ikimuonyesha yeye akiugua na mwenye mwonakono wa uchovu.

Anaumwa na nini?
Staa huyu anaugua ugonjwa wa matetewanga ambayo yanampeleka mbio.

Baada ya kupost picha hio kwa mtandao, staa huyu aliambatanisha maneno haya: sijawahi kuumwa namna hii maishani 

Linah: Sijawahi Kuumwa Namna Hii Linah: Sijawahi Kuumwa Namna Hii Reviewed by Admin on Tuesday, March 18, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.