Unordered List

Definition List

Kuambiana: Kipigo Cha Wema Sepetu Na Aunt Ezekiel Muhimu Sana

Director na muigizaji wa filamu Bongo, Adamu Phillip Kuambiana amefunguka kuwa kitendo cha kuwatia makofi waigizaji Wema Sepetu na Aunt Ezekiel kilikuwa cha kiungwana sababu amewafundisha.

Akipiga stori na na chanzo, Kuambiana alisema bila kuwa mkali wakati mwingine mambo huwa hayaendi kwenye uigizaji hivyo anapotembeza kichapo kidogo, mambo yanakwenda katika mstari.

“Kipigo kinasaidia, watoto wa kike hawa bila kuwatishia wanafanya wanavyotaka na ukiwaruhusu unaweza kuharibu kazi,  lakini nashukuru wamenielewa, tunapiga kazi,” alisema Kuambiana.


Kuambiana: Kipigo Cha Wema Sepetu Na Aunt Ezekiel Muhimu Sana Kuambiana: Kipigo Cha Wema Sepetu Na Aunt Ezekiel Muhimu Sana Reviewed by Admin on Monday, March 24, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.