Unordered List

Definition List

Trailer Ya Filamu Ya 'Yeezus': Imetolewa Na Kanye West

Kuna habari mpya kuwa Kanye West anapania kutoa 'biopic' ambayo itakuwa ikieleza matokeo ya wawili hao, yeye na Kim Kardashian tangu wachumbiane wakitumia mfumo wa picha kueleza.

Lakini huo ni uvumi tu unaoenezwa ambao bado chanzo chake hakijakuwa na uhakika.

Kile tunachokujua sasa ni kuwa Kanye West anapania kutoa filamu ya maisha yake ya kisanii wakati wa tour yake ya Yeezus kama tu ile ya Justin Bieber.

Kanye West aliweza kuitambulisha kuwa video hio ambayo imekuwa directed na Hype Williams kuwa itakuwa katika sinema hivi karibuni.

Cheki trailer yenyewe hapo chini...



Yeezus Movie Trailer
Trailer Ya Filamu Ya 'Yeezus': Imetolewa Na Kanye West Trailer Ya Filamu Ya 'Yeezus': Imetolewa Na Kanye West Reviewed by Admin on Saturday, March 01, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.