Unordered List

Definition List

Selena Gomez: Uchi Katika Instagram?!?

Selena Gomez amerusha picha ya mitego.

Mitego yenyewe haijulikani nia yake ni kumnasua nani, labda Justin Bieber?

Katika mtandao wa Instagram, mwanadada huyu ambaye alikuwa mpenzi wa awali wa Justin aliingia kwa akaunti yake na kuonyesha picha...akiwa uchi?

Picha yenyewe haikuwa na maandishi yeyote huku ikiacha swali je alikuwa na nia gani kupiga picha kama hii...

Cheki picha yenyewe:

Selena Gomez: Uchi Katika Instagram?!? Selena Gomez: Uchi Katika Instagram?!? Reviewed by Admin on Sunday, March 23, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.