Unordered List

Definition List

'Ye! Hongera Kanye West Atimiza Miaka 37


Siku ya leo Kanye West anasherehekea miaka 37 tangu kuzaliwa.

Siku hii imemfikia takriban wiki mbili hivi baada ya kufanya harusi bab kubwa ambayo aliweza kifanya na Kim Kardashian.

Kanye West aka 'Ye mwaka huu anaufurahia zaidi kwani ameweza kumwoa mwanamke mwenye matiti makubwa zaidi, ambaye amemzalia mtoto ambaye ni bora zaidi kwa jina North West.

Ni kitu gani zaidi amekosa hapo!!!
'Ye! Hongera Kanye West Atimiza Miaka 37 'Ye! Hongera Kanye West Atimiza Miaka 37 Reviewed by Admin on Sunday, June 08, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.