Kampeni iliyoanzishwa tangu mwaka jana kuruhusu wanawake kutembea kifua wazi(bila kuvaa chochote sehemu ya juu mwilini) imeanza kuota matunda baada ya mtandao wa Facebook kulegeza kamba kwa kuyajeuza masharti na matumizi kwa mtandao wake.
#freethenipple ni kampeni ambayo inataka usawa wa wanawake kama wanaume kuonyesha chuchu zao kwa mitandao ya kijamii bila pingamizi na sheria yeyote. Mwaka jana Miley Cyrus alikuwa mmoja wa wasanii kujitweka na kampeni hii na aliweza kupiga picha tata kuonyesha umuhimu wa jambo hili zima.
Wasanii kama Rihanna, Lady Gaga ni baadhi ya wanawake waliojitokeza kuona wamefaulu.
Facebook wameweza kujeuza masharti yake kisiri kwa kuandika hivi:
Q: Does Facebook allow photos of mothers breastfeeding?
A: Yes. We agree that breastfeeding is natural and beautiful and we're glad to know that it's important for mothers to share their experiences with others on Facebook.The vast majority of these photos are compliant with our policies.Please note that the photos we review are almost exclusively brought to our attention by other Facebook members who complain about them being shared on Facebook.
Ijapokuwa wamesema ni picha ya kunyonyesha pekee inayoruhusiwa, tunatarajia kuona zaidi

Facebook Yalegeza Kamba, Si Hatia Tena Kurusha Picha Ya Kuonyesha Matiti
Reviewed by Admin
on
Tuesday, June 17, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano