Unordered List

Definition List

Baada Ya bkuHABARI Kuanika Makalio Feki, Risper Faith Apiga Picha Ya &$@% Kuonyesha Makalio Yake Si Feki

Siku ya jana blog ya bkuHABARI iliweza kuangazia kuhusu makalio ya mchina ambapo madada hutumia aina flani ya nguo kuyainua makalio yao.

Pia ilitoa mfano mzuri kwa mwanadada Vera Sidika ambaye huu ndio mchezo wake wa kawaida wa kuwahadaa mafans wake.

Katika list hio, mdada Risper Faith, ambaye anajivunia kuwa miongoni mwa wanawake wenye makalio makubwa Nairobi, ameamua kujiondoa na kuhakikisha kwa watu kuwa makalio yake ni original.

Risper Faith amerusha picha kwa mtandao ikimuonyesha akiwa amevalia bikini pekee.

Cheki picha yenyewe.





Baada Ya bkuHABARI Kuanika Makalio Feki, Risper Faith Apiga Picha Ya &$@% Kuonyesha Makalio Yake Si Feki Baada Ya bkuHABARI Kuanika Makalio Feki, Risper Faith Apiga Picha Ya &$@% Kuonyesha Makalio Yake Si Feki Reviewed by Admin on Wednesday, June 11, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.