Unordered List

Definition List

Akon Afanya Shoo Akiwa Ndani Ya Kibofu Ili Asishikwe Na Ebola

Akon siku ya Jumapili aliweza kufanya shoo ajab Goma nchini Demokrasia ya Congo.

Katika event hio ambayo ilishuhudiwa ujio wa mamia wa mafans kumsikiliza akiimba nyimbo zake, Akon aliweza kufanya shoo yenyewe akiwa ndani ya kibofu ambacho kimezuiwa hewa ya nje kutoingia ndani.



Vituo vya habari nchini humo vilimkashifu baadaye kwa kudai kuwa Akon alitumia njia ya kuwa karibu na mafans wake lakini ni kuwa alikuwa hataki kushikwa na ugonjwa wa Ebola
Akon Afanya Shoo Akiwa Ndani Ya Kibofu Ili Asishikwe Na Ebola Akon Afanya Shoo Akiwa Ndani Ya Kibofu Ili Asishikwe Na Ebola Reviewed by Admin on Monday, October 06, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.