Unordered List

Definition List

Chidi Benz Anaswa Na Bangi, Ajitetea Ni Matumizi Ya Binafsi

Kuna Taarifa kuwa Msanii Chid Benzi amekamatwa na Madawa ya kulevya Airport Dar es Salaam ambapo alikuwa anaelekea Mbeya Kufanya Show ya Instagram..

Amekamatwa na Kete Kumi na nne za madawa ya kulevya , pia na Bangi misokoto miwili ambazo zilikuwa katika mfuko wake wa Shati .

Chid alikuwa ameongoza na Mwanamuziki Sheta ambae yeye aliruhusiwa kuendelea na safari.

Baada ya kuhojiwa inasemekana Chid alijitetea kwa kusema ni kwa ajili ya matumizi yake binafsi , Chid kwa sasa anashikiliwa na polisi kwa mahojiano zaidi...
Chidi Benz Anaswa Na Bangi, Ajitetea Ni Matumizi Ya Binafsi Chidi Benz Anaswa Na Bangi, Ajitetea Ni Matumizi Ya Binafsi Reviewed by Admin on Saturday, October 25, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.