Unordered List

Definition List

Diamond Platnumz Kutoa Mahari Ya Tsh. Mil. 100 Kama Anamtaka Wema Sepetu

Kumekuwa na tetesi kuhusu muigizaji na mwanamitindo Wema Sepetu, kutaka kufunga ndoa na mwanamuziki nguli wa bongo fleva Diamond Platnumz.

Kwa mujibu wa mama yake Wema amefunguka na kusema kama Diamond atataka kumwoa mwanawe itamghalimu kutoa Tsh milioni100 kama mahali ya mwanawe uyo, kama alivyohojiwa na blog moja jijini Dar.

Wachunguzi wa mambo ya ndoa wanaona kama Wema Sepetu atatolewa pesa hizo na Diamond kama mahari basi atavunja rekodi kuwa mwanamke pekee nchini Tanzania kuolewa kwa pesa nyingi, lakini yeye Wema mwenyewe amedai yuko tayari kuolewa na diamondhata bure
Diamond Platnumz Kutoa Mahari Ya Tsh. Mil. 100 Kama Anamtaka Wema Sepetu Diamond Platnumz Kutoa Mahari Ya Tsh. Mil. 100 Kama Anamtaka Wema Sepetu Reviewed by Admin on Saturday, October 11, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.