Kando na kuwa kidogo tu Times iharibu tamasha zima la Serengeti Fiesta kwa kumzuia Davido kufanya shoo, kulikuwa na wasanii wengi ambao kivyovyote wangeeza kurusha shoo iwe na mizuka.
Ofcourse naongea kusuhu msanii wa Marekani T.I, Diamond Platnumz....na Ali Kiba?
Well, T.I akiwa amevalia flana yenye mchoro wa indiana aliweza kuufanya mji wa Dar kupooza kwa muda.

Halafu kama kawa msanii wa 'mdogo mdogo' aliiteka hadhira kwa mtindo wa kuvalia gwanda la kijeshi.

Umati nao ulijaa kiasi cha kuwa hakukuwa na nafasi ya kutema mate

Picha: T.I, Diamond Platnumz Wakichafua #SerengetiFiesta
Reviewed by Admin
on
Sunday, October 19, 2014
Rating:

No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano