Unordered List

Definition List

Huddah Monroe Na Wiz Kid Wakifanya Yao Kweupe

Wikendi iliyopita kulikuwa na shoo bab kubwa jijini Dar ya Serengeti Fiesta ambayo inadaiwa wafuasi wa Ali Kiba walilipwa kumletea vurugu Diamond Platnumz. Well, hii ilikuwa tofauti jijini Nairobi siku ya jumapili ambapo Wiz Kid aliweza kutetemesha jukwaa.

Nje ya stage Wiz Kid anadaiwa alikuwa akifuatwa fuatwa kila mahali na Lady Boss aka Huddah Monroe.

Cheki picha za wawili wakifanya yao



Nani utamlaumu hapa!? Mshiko wa Huddah hakuna mtu anaweza kuuepeka

Huddah Monroe Na Wiz Kid Wakifanya Yao Kweupe Huddah Monroe Na Wiz Kid Wakifanya Yao Kweupe Reviewed by Admin on Saturday, October 25, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.