Unordered List

Definition List

Diamond Platnumz Awavuruga Mashabiki Wake Mlimani City

Usiku wa jana ulikuwa wa ajab pale msanii maarufu zaidi Afrika Mashariki alipoporomosha shoo bab kubwa katika Tamasha la Usiku wa Msanii lililofanyika Pale Mlimani City.

Huu ulikuwa ni usiku wa Diamond Platnumz ambaye wikendi iliyopita aliweza kuzomewa na mashabiki wa AliKiba wakati alipopanda jukwaani katika Serengeti Fiesta 2014.

Akiwa amevalia suti nyeupe Diamond aliweza kuachilia densi zake ajab ikiwemo dansi yake maarufu ya mdogo mdogo.

Bigups!
Diamond Platnumz Awavuruga Mashabiki Wake Mlimani City Diamond Platnumz Awavuruga Mashabiki Wake Mlimani City Reviewed by Admin on Sunday, October 26, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.