Unordered List

Definition List

Diamond Kupewa Shahada Ya Uzamivu, Atakuwa Akiitwa Doctor


TANGAZO NDUGU ZANGU: Ifikapo Tarehe 8 Novemba Saa 10 jioni, kijana mwenzetu ambaye sisi tunamdharau na wengine wapuuzi kabisa kwa kufeli kwao maisha wana wivu na wanathubutu kumzomea atakuwa anatunukiwa Shahada ya Uzamivu(Phd) na Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam(UDSM) kwa kuthamini mchango wake kwenye jamii…

Honorary Phd hata rais Jakaya Kikwete anayo…Alongside DIAMOND mwingine atakayepewa Shahada hii ya Heshima kwenye Mahafali haya ni Balozi Fulgence Kazaura ambaye amewahi kuwa VC wa UDSM miaka ya nyuma!! Ningependa kuwakaribisha wale wazomeaji woooteee wenye sauti mbaya kabisa waweze kufika kwenye viwanja vya UDSM kushuhudia tukio la kihistoria kwa mtoto huyu wa Tandale ambaye ni BIDII NA HESHIMA vimemfikisha hapa..

SHIKAMOO DR.NASIBU ABDUL au Pengine DR.DIAMOND PLATNUMZ au ukitaka swaga DR.PLATNUMZ BABY! Sky is never the limit! Hongera kwa mameneja waliomfikisha DIAMOND hapo alipo
Diamond Kupewa Shahada Ya Uzamivu, Atakuwa Akiitwa Doctor Diamond Kupewa Shahada Ya Uzamivu, Atakuwa Akiitwa Doctor Reviewed by Admin on Thursday, October 30, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.