Askari anayesifiwa kuwa miongoni mwa jeshi la polisi mwenye shepu bora zaidi amerudi kwa gemu na miondoko mipya...ya sketi fupi.
Wamkumbuka? Hii picha hapo chini ndio iliyomfanya kuwa maarufu.

Ok now staa huyu amepandisha mchezo wake sahizi kwa kujihusisha na akina Jaguar na wasanii wengi watajika. Sioni maajabu staa huyu akijihusisha na akina Diamond Platnumz hivi karibuni.

Well, cheki mtindo wake wa kuvaa sketi

Picha: Linda Okello Arudi Tena Na Sketi Fupi Zaidi
Reviewed by Admin
on
Saturday, October 25, 2014
Rating:

No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano