Unordered List

Definition List

Diamond Platnumz Atajwa Mmoja Wa Wasanii Aliyependua Mziki Afrika

Mkali wa Ngoma ya"Mdogo Mdogo" Diamond Platnumz ametajwa kwenye Orodha ya wasanii Kumi Afrika waliofanya Mabadiliko (Top10 Most Game Changers).


Orodha hiyo imetolewa wiki hii kwenye kipindi cha Top10 Most kinachoendeshwa na Jokate Mwengelo na Ice Prince kutoka Nigeria, Diamond Platnumz ameshikilia namba 10 pamoja na Fally Ipupa.

Hii ndio List nzima
1. 2face Idiba
2.Boom Shaka
3.D banj & Don Jazzy
4.K'naan
5.Banky W & Psquare
6.Dj Jimmyyat & Dj Waxxy
7.Tiwa savage & Wizkid ayo
8.Ice Prince - Nigeria & Naetoc
9.Mafikizoro & Mr. Flavour
10.Diamond Platnumz & Fally Ipupa

Diamond Platnumz alishindwa kupokea tuzo la Best African Act Europe wiki hii baada ya tuzo hilo kumponyoka kwenda kwa Sauti Sol.
Diamond Platnumz Atajwa Mmoja Wa Wasanii Aliyependua Mziki Afrika Diamond Platnumz Atajwa Mmoja Wa Wasanii Aliyependua Mziki Afrika Reviewed by Admin on Saturday, October 25, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.