Unordered List

Definition List

#SerengetiFiesta Yaweka Historia...Ulikuwepo? Cheki Picha Za Wote Waliotumbuiza


Serengeti Fiesta imetajwa kuwa fiesta ambayo imeshika zaidi kuliko zote ambazo zishawahi kutokea. Kuanzia wasanii wa Tanzania, Kenya, Nigeria, Dubai hadi Marekani imedhihirisha kuwa waandalizi wa tamasha hili wamejitolea kuwatumbuiza mashabiki kimzuka.

Ok ulikuwa Dar siku ya Jumamosi 18? Wawajua wasanii wote waliotumbuiza?

Kuanzia kwa Abdul Kiba hadi kwa Madee, Kutoka kwa Davido hadi Chege...Kuanzia Victoria Kimani hadi Shaa imeonyesha kuwa wasanii walikuwa wengi.

Cheki tukio lote kwa picha ikionyesha wasanii walioshiriki kufanikisha tamasha zima.

Cheki picha za wasanii katika Serengeti Fiesta hapa kwa hisani ya bongo5
#SerengetiFiesta Yaweka Historia...Ulikuwepo? Cheki Picha Za Wote Waliotumbuiza #SerengetiFiesta Yaweka Historia...Ulikuwepo? Cheki Picha Za Wote Waliotumbuiza Reviewed by Admin on Monday, October 20, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.