Unordered List

Definition List

Shehe: Aunt Ezekeil Hana Ndoa Tena Kwa Mujibu wa Dini ya Kiislam

Stori: Gladness Mallya na Chande Abdallah

SHEIKH Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa ameweka wazi kuwa msanii nyota wa filamu, Aunt Ezekiel ambaye aliolewa na Sunday Demonte hana ndoa kutokana na kukaa mbali na mumewe kwa zaidi ya miezi sita.

“Hakuna ndoa kati ya mtu yeyote ambaye amezidi miezi 6 bila kukutana na mumewe kwa mujibu wa dini ya kiislamu.“ Kwa kawaida mwanamke ambaye hajakutana na mumewe kwa miezi 6 au zaidi baada ya ndoa yao, hupaswa kwenda mara moja Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) kulalamika na hatimaye kudai talaka, ikiwa mwanamke ameridhika na hali hiyo, naye akaamua kukaa kimya huku akifanya mambo yake na kuanzisha uhusiano na wanaume wengine maana yake amejitoa mwenyewe kwenye mamlaka ya mumewe, hivyo hapo kunakuwa hakuna ndoa tena,”alisema Shehe.
GPL
Shehe: Aunt Ezekeil Hana Ndoa Tena Kwa Mujibu wa Dini ya Kiislam Shehe: Aunt Ezekeil Hana Ndoa Tena Kwa Mujibu wa Dini ya Kiislam Reviewed by Admin on Wednesday, October 01, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.