Unordered List

Definition List

Miley Cyrus Adai 'Twerking' Imeisha Ladha, Sasa Ni 'Nae Nae

Mtindo wa twerking aka kutetemesha makalio umepitwa na wakati, malkia wa kutetemesha makalio Miley Cyrus amefunguka.

Akiongea na mahojiano na shoo moja ya Australia inaitwa 'Sunrise', Miley ameweka wazi kuwa mtindo wa twerking ni wa zamani na sasa ana ujio mpya wa kucheza unaoitwa nae nae.

Uzuri wa densi hii si vigumu kuucheza kwani si lazima uwe na makalio makubwa wala uwe na ustadi wa kunengua mauno, unachohitajika ni kuenua mkono wako juu, uipeleke kushoto na kulia huku ukiichezesha miguu yako.

Miley amedai dance hio ameitoa kutoka kwa dansa wake wa LA Backers, ambao walimfunza hio nae nae dance lakini hana shaka mafans wake wakiuita Miley dance.
Miley Cyrus Adai 'Twerking' Imeisha Ladha, Sasa Ni 'Nae Nae Miley Cyrus Adai 'Twerking' Imeisha Ladha, Sasa Ni 'Nae Nae Reviewed by Admin on Saturday, October 18, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.