Unordered List

Definition List

Diamond Na Davido Watemwa, Sauti Sol Washinda EMA

Kundi la wasanii linalotia bidii kimziki wa kiafrika Sauti Sol walitangazwa washindi wa tuzo la Best African Act siku ya Alhamisi.

Hii ndilo tuzo la kwanza la Europe Music Award kuwahi kuingia nchini Kenya.
Wengi waliwapigia upato Diamond na Davido kuwa na nafasi kubwa ya kushinda tuzo lakini inaonekana wawili hawa walikuwa na shughli muhimu zaidi kando na kupewa kikombe.

Sauti Sol muda huu wanawika na ngoma mpya ya Sura Yako remix inayomhusisha Iyanya. bkuHABARI inatoa hongera kwa Sauti Sol kwa kushinda tuzo hili. Wanatia bidii ya mchwa kwa mziki.
Diamond Na Davido Watemwa, Sauti Sol Washinda EMA Diamond Na Davido Watemwa, Sauti Sol Washinda EMA Reviewed by Admin on Saturday, October 25, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.