Unordered List

Definition List

Picha: Diamond Platnumz Akitoka Kuhojiwa Baada Ya Kosa La Kuvalia Nguo Za Kijeshi Fiesta

Taarifa zinazomhusu msanii Diamond Platnumz kuhojiwa na jeshi la Polisi hii leo zimeenea sana kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, kuanzia jana (tarehe 22 Oktoba) meneja wa msanii huyo Babu Tale amekua akihojiwa na polisi mpaka alipoachiwa kwa dhamana mapema jana saa 5.

Vile vile msanii Diamond aliripoti polisi mapema jana kwa ajili ya kuhojiwa,ambapo baada ya kuhojiwa msanii huyo ameachiwa kwa dhamana. Hii ni picha ikimuonesha msanii Diamond akitoka kuhojiwa na jeshi la polisi.
Picha: Diamond Platnumz Akitoka Kuhojiwa Baada Ya Kosa La Kuvalia Nguo Za Kijeshi Fiesta Picha: Diamond Platnumz Akitoka Kuhojiwa Baada Ya Kosa La Kuvalia Nguo Za Kijeshi Fiesta Reviewed by Admin on Thursday, October 23, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.