Unordered List

Definition List

Miley Cyrus Amzimia Katy Perry Instagram #Wcw

Miley Cyrus siku hizi amekuwa akishindana na Lady Gaga kuoneshana nani anamshinda mwenzake kufanya mambo ambayo hayaeleweki eleweki na kushangaza. Katika Instagram yake amekuwa akiendeleza miradi yake ya michoro yenye chanzo kutoka kwa msanii Elvis.

Kando na kuwa muda wake mwingi anautumia Instagram, hii haimaanishi kuwa Miley hajihusishi na mambo yanayoendelea kwa mtandao kuanzia woman crush wednesday, through back thursday na nyinginezo.

Hii wiki mwanamke ambaye Miley Cyrus alicrush/kuzimia naye alikuwa ni Katy Perry. Aliweza kuirusha ile picha maarufu ya busu la Miley-Katy halafu akaweka maneno ambayo wengi waliona hayakufaa:

"Wcw is this slut @katyperry /tbt (not on t) to that time we made out during my bangerz tour"

Baadaye staa huyu aliweza kuidelete post hio ikizingatiwa kuwa hakutumia maneno ya uungwana kwa kumuita Katy Perry 'slut'. Anyway Miley anauzoefu mkuu wa kumuita Katy 'slut' hivyo neno hilo slut wengi wanaliashiria kama neno fupi la Perry.

Wakumbuka ile siku Katy Perry alijitoa wakati Miley alipokuwa akimla dende na baadaye kudai kuwa: "Ni Mungu pekee ndiye anayejua ulimi wa Miley Cyrus umetoka wapi"...halafu Miley akamjibu kuhusu mpenzi wake wa zamani John Mayer....

Ok hii issue ilikuwa ndefu na mbaya lakini hatujui kama walikuwa wanatuchezea au la. Maybe Miley alikuwa anamrushia mistari kiujanja au labda Miley alikuwa anaanzisha bifu lake kati yake na Katy.
Miley Cyrus Amzimia Katy Perry Instagram #Wcw Miley Cyrus Amzimia Katy Perry Instagram #Wcw Reviewed by Admin on Thursday, October 02, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.