Unordered List

Definition List

Diamond Platnumz Adhihirisha Kuwa Kuzomewa Fiesta Si Mwisho Wa Safari


Licha ya kupata zomea zomea wakati wa fiesta kijana diamond ameonekana kutojali na kuwa na confidence ya kupanda jukwaani tena bila kuhofia buu buu alizopata wakati wa fiesta na kufanya shoo ya kwa muda wa lisaa limoja na nusu kwenye viwanja vya Coco Beach.

Na muda wake wa kuondoka ulipofika ikabidi nguvu ya ziada itumike kuondoa mashabiki waliozingira gari lake kwa muda kadhaa wakitaka japo kumuona kijana huyo.

Big up kwake kwa kuonesha kutovunjika moyo na kupata confidence ya kumiliki jukwaa.
Diamond Platnumz Adhihirisha Kuwa Kuzomewa Fiesta Si Mwisho Wa Safari Diamond Platnumz Adhihirisha Kuwa Kuzomewa Fiesta Si Mwisho Wa Safari Reviewed by Admin on Tuesday, October 28, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.