Unordered List

Shilole Achafuka Instagram: "...Nuhu Kajua Utamu Wa Mapenzi Ndo Maana Kaniganda"

Definition List

Instagram imekua moja ya mtandao ambao umekua gumzo sana hasa hapa Tanzania. Wasanii wengi wameikimbia Facebook na Twitter na kuhamia Instagram ambako ndipo mara nyingi hutoa updates nyingi kuhusu maisha na kazi zao kwa ujumla.

Kwa upande mmoja taarifa zitolewazo na wasanii hao hupokelewa vizuri na mashabiki wao na wakati mwingine hupokelewa vibaya. Mfano mzuri ni pale mwanadada Shilole alipoamua kuweka wazi mahusiano yake na msanii mwenzake Nuhu Mziwanda, kuna baadhi walipokea vizuri na kuna baadhi walijitokeza waziwazi kupinga mahusiano hayo.

Sababu kubwa ya wengi kupinga mahusiano hayo ni kutokana na kupishana kwa umri kwa wasanii hao, Shilole akiwa ni mkubwa zaidi kiumri kushinda Nuhu. Ni mengi yameongelewa lakini inaonyesha ya kuwa Shilole amechoka na maneno hayo na kwa sasa ameamua kufunguka rasmi kuhusu maneno haya.


Kupitia akaunti yake ya Instagram Shilole aliandika "Huyo nuh mnaosema ni mdogo kwangu! Kwani hajawaona wadogo wenzie mpaka kanipenda mm?? Mtt mdogo angekuwa analilia mapenz! Siangekuwa analilia ziwa kwa mama yake ! But ni mkubwa ndo maana kajua utam wa mwanamke ndo maana kaniganda! Wenywe tumeridhiana! Wivu tu unawasumbua nikiwa na mtu mzima mtasema lol shilole bwanaake babu nikiwa na kijiana mwenzangu oooh kitoto kidogo mnikome! Mnakuepogi chumban muona udogo wake???"
Shilole Achafuka Instagram: "...Nuhu Kajua Utamu Wa Mapenzi Ndo Maana Kaniganda" Shilole Achafuka Instagram: "...Nuhu Kajua Utamu Wa Mapenzi Ndo Maana Kaniganda" Reviewed by Admin on Monday, October 20, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.