Unordered List

Definition List

Diamond Platnumz Ajitolea Kumwinua Ali Kiba Kiumaarufu

Akiongea na 255 ya XXL kupitia Clouds fm Diamond amesema yupo tayari kumsaidia Ali Kiba.

Aliulizwa je yupo tayari kufanya kazi na Kiba pamoja na tofauti zinazozungumzwa kati yao.

Akajibu.....Namnukuu "kama akija kuniomba nipo tayari kumsaidia, kama nimeweza kufanya na wasanii wa nje itakuwaje nikatae kufanya na. wasanii wetu wa nyumbani......nimeshasaidia wengi so akija yoyote nipo tayari kufanya nae. Kiukweli mimi nimeshafika level fulani ivyo ni rahisi ata kumtangaza mtu kimataifa, so ikitokea mtu anaitaji nimsaidie mi sina tatizo"

Wasanii wa kimataifa Diamond aliofanya nao collabo mpaka sasa

Waje - Nigeria
Mafikizolo - South Africa
Kcee - Nigeria
Don Jazzy - Nigeria
Diamond Platnumz Ajitolea Kumwinua Ali Kiba Kiumaarufu Diamond Platnumz Ajitolea Kumwinua Ali Kiba Kiumaarufu Reviewed by Admin on Friday, October 17, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.