Unordered List

Definition List

Kanye West Achukizwa Na Picha Za Uchi Za Kim Kardashian Zilizovuja Mtandaoni

Ok Kanye West Kama tumjuavyo si mtu ambaye anabeza mambo ya mitandaoni so bila shaka kabla ya kutaka kumuoa Kim Kardashian aliweza kuangalia video ya ngono ya Kim Kardashian (Uwezekano aliiangalia mara kadhaa) ili kuhakikisha kama hapo angefaulu kumpata au la.
Kama kawaida wengi wanapenda sana kuyachunguza maisha ya mpenzi wake Kim pamoja na mtoto wao North West lakini Kanye amechukizwa haswa baada ya picha za uchi za Kim Kardashian kuvuja katika mtandao wa Reddit.

Kulingana na chanzo cha karibu cha staa huyu anayefahamika kwa jina la utani Yeezus, inasemekana kuwa hakukasirishwa na kisa cha picha za Kim kufanyiwa ufidhuli (hack), bali ni kuwa picha hizo zilichukuliwa na wapenzi wa zamani wa Kim Kardashian.
Hivi ni kuwa kabla picha hizo kuingia katika mtandao wa Reddit 'Ye hakuwahi kuziona hizo picha kamwe, so uwezekano mkubwa ni kuwa picha hizo zilichukuliwa na aidha Kris Humphries ama Reggie Bush ama Miles Austin, ama...yeah list ni ndefu mno.

"Kim alipata pigo moja kubwa na Kanye baada ya kuziona hizo picha," chanzo kimoja kiliongea na jarida la Uingereza la Closer. "Kanye anapenda kumuona Kim akiwa amevalia nguo zenye kumuonyesha maungo kama alivyovalia katika fashion week jijini Paris, lakini hajawahi kamwe kuziona hizi picha na uwezekano mkuu ni kuwa Kim alipiga picha hizi akiwa na wapenzi wake wa zamani." chanzo kilizidi kufunguka.
Kanye West Achukizwa Na Picha Za Uchi Za Kim Kardashian Zilizovuja Mtandaoni Kanye West Achukizwa Na Picha Za Uchi Za Kim Kardashian Zilizovuja Mtandaoni Reviewed by Admin on Wednesday, October 01, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.