Unordered List

Definition List

Peter Wa P Square Avunjika Mguu Baada Ya Kuanguka Jukwaani. Cheki Tukio Zima Kwa Picha

Staa wa P Square alipata mshtuko baada ya kuanguka kutoka jukwaani alipokuwa akifanya shoo bab kubwa ya Beat 99.9 FM’s Triple 9 Concert sehemu ya Landmark Event Centre, Victoria Island, Lagos.

Peter aliweza kurusha picha za tukio zina na kudai kuwa yuko karibu kupona ili kuendelea na shoo zake: “What defines us is how well we rise afterfalling… I’m human, I’m not perfect. But I’m thankful. I know I will be fine before my next concert dis weekend in Congo Lubumbashi,Dubai …… Thanks peeps.”

Cheki tukio zima kwa picha:

















Peter Wa P Square Avunjika Mguu Baada Ya Kuanguka Jukwaani. Cheki Tukio Zima Kwa Picha Peter Wa P Square Avunjika Mguu Baada Ya Kuanguka Jukwaani. Cheki Tukio Zima Kwa Picha Reviewed by Admin on Friday, October 03, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.