Unordered List

Definition List

Diamond Platnumz Ashindania Tuzo La MTV EMA, Aomba Sapoti


Miezi michache iliyopita Diamond Platnumz aliweza kushiriki katika tuzo la MTV AMA nchini Marekani ambapo aliweza kushinda tuzo la Best African Act, yote kwa sapoti yako, na sahizi amerudi tena.

Kupitia mitandao ya kijamii Diamond amerudi tena kuomba kura ya MTV EMA ya Uropa katika kayegoria io hio.

Hiki ndicho alichoandika:

"Tafadhali naomba ubonyeze link hii kuweza ku ipigia kura kwenye tunzo za MTV Europe kama Msanii bora International toka Africa. Kupiga kura ni rahisi saana Bonyeza link hii kisha itakupeleka moja kwa moja hadi hapo kwenye picha... halaf utabonyeza ilo Neno VOTE chini ya jina langu http://base.mtvema.com/vote?category#cat=best-african
Kama Tuliweza kuichukua ile ya Marekani sasa hii itatushindaje....Tunaweza kupiga nyingi tuwezavyo Hadi ije nyumbani!!!"
Diamond Platnumz Ashindania Tuzo La MTV EMA, Aomba Sapoti Diamond Platnumz Ashindania Tuzo La MTV EMA, Aomba Sapoti Reviewed by Admin on Monday, October 20, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.