Unordered List

Definition List

North Amechukua Sura Ya Nani? Kim ama Kanye?

Tunajua kuwa North West ni miongoni mwa watoto matajiri zaidi duniani ikiwa baadhi ya utajiri wake ni kumiliki choo cha dhahabu. Pia tunajua kuwa tayari mtoto huyu aliyetimiza mwaka mmoja mwezi Juni ni model...yeah mamake ambaye ni Kim Kardashian tayari amefanya bidii hadi Nori akatokeza katika ukurasa wa mbele wa gazeti la fasheni.

Ok swali ni je, North West amechukua sura ya nani? Kim ama Kanye?

Cheki picha




North Amechukua Sura Ya Nani? Kim ama Kanye? North Amechukua Sura Ya Nani? Kim ama Kanye? Reviewed by Admin on Monday, October 20, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.