Wananchi wa Marekani wanazidi kuingiwa na woga baada ya jamaa flani siku ya jana Ijumaa kufariki dunia akiwa kwa ndege iliyokuwa inasafiri kutoka Nigeria hadi uwanja wa ndege wa JFK ulioko New York City.
Kulingana na ripoti iliyotolewa na wahudumu wa uchunguzi huo wanadai kuwa abiria huyo alianza kutapika kwa ghafla kabla kukumbwa na kifo chake.
Inasemekana kuwa mgonjwa huyo amewaingiza wahudumu wa ndege aliyokuwa akisafiri katika hali ya hatari ya kushikwa ugonjwa wa ebola.
Maswali yaliyobakia ni je, nchi ya Marekani iko salama kutokana na Ebola?
Tangu mgonjwa wa kwanza Duncan kupeleka ebola Marekani, kumekuwa na visanga vingi vya watu kushukiwa au kushikwa na ugonjwa huu wa ebola ambao bado haujapata tiba dhabiti.
Ugonjwa wa ubola unaaminika chimbuko lake ni nchi za magharibi ya Afrika.

Jombi Afariki Kwa Ndege Ya Nigeria-New York; Ebola Yakisiwa Chanzo
Reviewed by Admin
on
Saturday, October 18, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano