Unordered List

Definition List

Picha: Davido Akitetemesha Serengeti Fiesta Dar Usiku Wa Jana

Siku ya jana ilikuwa ya ajab wakati Davido alipopanda jukwaani kukata kiu cha wengi waliotaka kumwona akifanya nyimbo ya 'Skelewu'.

Siku ya jana ilikuwa ya vuta nikuvute kati ya Times fm na Clouds tv wakimgombania msanii huyo. Times walienda mahakamani kumzuia Davido kufanya shoo (walimkodisha aje kufanya shoo mwezi wa Novemba) ilhali Clouds waliapa kuwa Davido asipofanya shoo kungekufa mtu.

Anyway kwa interest ya mafans wa Dar, Davido aliweza kuufanya usiku wa jana kuwa furaha kwa wengi.

Cheki baadhi ya picha





Picha: Davido Akitetemesha Serengeti Fiesta Dar Usiku Wa Jana Picha: Davido Akitetemesha Serengeti Fiesta Dar Usiku Wa Jana Reviewed by Admin on Sunday, October 19, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.